Kwamba yule mdaka mishaleUsitumie nguvu na mihemko weka takwimu za makipa wa ligi ya NBC na kilakitu kitajieleza chenyewe. Takwimu uwa zina jieleza.
Wote na manula wana cleansheet 6 wamezidiwa na golie wa coastal union.Kwamba yule mdaka mishale
Apongezwe Kipa wa costal maana takwimu zime mwinua. Mpira unajitetea wenyewe hauna Chupri Chupri.Wote na manula wana cleansheet 6 wamezidiwa na golie wa coastal union.
Mechi 4 Manula kafungwa magoli 0Rudia uangailie lile shuti la Kola iliyokula mwamba na goli alilomchapa manula ligi utaona mwamba amemsoma Manula kwa muda mfupi. Manula ni kipa wa kawaida tu kama mbisa wa coastal.
Ligi bado inaendelea . Huyo atakuwa anakula Hadi 6 . Utakuja kuniambiaWote na manula wana cleansheet 6 wamezidiwa na golie wa coastal union.