Hakuna kipa anayemfikia Manula ligi kuu

Hakuna kipa anayemfikia Manula ligi kuu

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kwa saves alizofanya Manula jana Mapinduzi cup hakuna kipa wakumfikia ligi kuu.

Tuache unafki jana Azam wakipiga mpira, wakiendelea hivyo hata NBC watafika mbali.

Kuna saves Manula kafanya jana ni uwezo binafsi wa kipa.

Hakuna kipa wa kumfikia Manula ligi kuu kwa sasa.
 
Usitumie nguvu na mihemko weka takwimu za makipa wa ligi ya NBC na kilakitu kitajieleza chenyewe. Takwimu uwa zina jieleza.
 
Sema Azam atakua bingwa hakuna mbali zaidi ya ubingwa unless otherwise uache unafiki
 
Azam anakamia mechi kubwa akikutana na ruvu shooting anapapaswa
 
Rudia uangailie lile shuti la Kola iliyokula mwamba na goli alilomchapa manula ligi utaona mwamba amemsoma Manula kwa muda mfupi. Manula ni kipa wa kawaida tu kama mbisa wa coastal.
 
Asiyetaka Ulichoandika Ama Anayebisha Aende CAS Akafungue Kesi
 
Rudia uangailie lile shuti la Kola iliyokula mwamba na goli alilomchapa manula ligi utaona mwamba amemsoma Manula kwa muda mfupi. Manula ni kipa wa kawaida tu kama mbisa wa coastal.
Mechi 4 Manula kafungwa magoli 0
Kuna timu imecheza mechi 3 imefungwa goli 10. Halafu anatokea zuzu mmoja anasema , Manula wa kawaida Sana. Kwahiyo mnataka asifiwe mdaka mishale tu?
 
Kocha Azam apewe mkataba muda mrefu...
Timu inacheza
 
Back
Top Bottom