Hakuna kipindi chenye ulazima wa kuvaa condom kama sasa, Baada ya msaada wa ARV kusitishwa tutegemee maambukizi kwa kasi ya radi

Nonsense....
Yani hii habari ni kama mna i sherehekea..
Tafuteni kazi ya kufanya. πŸ’©
 
Ila sisi Waafrika tufike mahali tuwe na aibu kidogo,ngono zembe tufanye wenyewe raha tupate wenyewe dawa atuletee mzungu.....kweli???

Hizo condom zenyewe tunapewa kama msaada,cha kufanya ni kuacha ngono tu.
πŸ˜€πŸ˜€ We kuweza
Chezea upwiru wewe
 
USAID lengo lake halikuwa kwa ajili ya kutoa ARV tu.
 
ARV ndiyo zinaongeza maambukizi tumia akili wewe zuzu ....kama zikipigwa marufuku kutakuwa na vifo vingi na afya ya watu wengi zitazorota na kuwafanya waogopwe na watu kuhusu ukimwi....siungi mkono ARV kutoweka au kupigwa marufuku ila pia siugi mkono ARV kutolewa bure ...
MADHARA YA ARV KUWA ZA BURE NI KUONGEZA UKIMWI DUNIANI ..hivyo inatakiwa dozi ya ARV ziuzwe japo sh 20000 kwa dozi ya mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…