LGE2024 Hakuna kitakachobadirika katika uchaguzi huu, ni replica ya 2019/2020

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mchengerwa:

1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!

2. Hakuna kitakachobadirika.

3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!

4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
 
Tatizo ni jamii, jamii mafuvu yakirudishiwa akili italeta mabadiliko tu

Silence surrenders public responsibilities
 
1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!

2. Hakuna kitakachobadirika.

3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!

4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
Hapo # 3 Lissu alimaanisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka huu umeisha kama ulivyopangwa na kuratibiwa na Samia na mkwewe kujipanga upya ni kwa 2029 tena.
 
1. Kuwaombea mabaya yawapate wale wote waliohusika.
 
Katiba mpya ndiyo mwarobaini lLakini je akina Lissu wako wangapi nchi hiii?
 
Mchengerwa:

1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!

2. Hakuna kitakachobadirika.

3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!

4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
Inashangaza sana aise,
wagombea wa chadema hawajajifunza chochote, yaani bado hawajui kujaza formu za uongozi kwa usahihi dah!

Actually ,
hii inamaanisha kwamba, ikiwa kujaza fomu tu kunawashinda, basi ni dhahiri hakuna uchaguzi wanaoweza kushinda humu nchini 🐒
 
Back
Top Bottom