Tatizo ni jamii, jamii mafuvu yakirudishiwa akili italeta mabadiliko tu1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!
2. Hakuna kitakachobadirika.
3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!
4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
Hapo # 3 Lissu alimaanisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka huu umeisha kama ulivyopangwa na kuratibiwa na Samia na mkwewe kujipanga upya ni kwa 2029 tena.1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!
2. Hakuna kitakachobadirika.
3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!
4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
That is exactly what I meant to convey!Hapo # 3 Lissu alimaanisha kuwa uchaguzi wa serikali kwa mwaka huu umeisha kama ulivyopangwa na kuratibiwa na Samia na mkwewe kujipanga upya ni kwa 2029 tena.
Inashangaza sana aise,Mchengerwa:
1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!
2. Hakuna kitakachobadirika.
3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha ni kujipanga upya! Unajipangaje kwenye mapolisi/risasi/Kangaroo mahakama/Bunge kibudu!
4. Suggest the way forward msomaji wa hii thread
Yule kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi anaetunishiana misuli na Kigaila?🐒Katiba mpya ndiyo mwarobaini lLakini je akina Lissu wako wangapi nchi hiii?
Walaaniwe chadema wote walio chukua uamuzi kushiriki katika uhuni huu.Walaaniwe wote walihusika na ujinga huo.