'Hakuna kitakachotuzuia' kuwaondoa Hamas, Netanyahu aiambia Marekani

'Hakuna kitakachotuzuia' kuwaondoa Hamas, Netanyahu aiambia Marekani

Hakuna sasa kitachowazuia wapenda haki duniani na wao kuisambaratisha Tel Aviv.

Anaefikiri Wapalestina watamalizwa peke yao tu huyo ni mjinga.
[emoji23][emoji23][emoji23] waislam kuna uchizi mnawekeagwa , huon magumu wanayopitia waafrika wenzio upo busy kujitia huzun kisa waarabu
 
Aapie nn wakati mpk wamebadilishana angeweza siangewaokoa
kwamba malengo yenu kwa sasa ni Israel kuokoa mateka na sio kuifuta Israel ? waislam ndo watu wajinga dunian , zile muvi za kizomb zilikuwa zinawahusu
 
kwamba malengo yenu kwa sasa ni Israel kuokoa mateka na sio kuifuta Israel ? waislam ndo watu wajinga dunian , zile muvi za kizomb zilikuwa zinawahusu
Hivi ww jamaa umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
View attachment 2830061
Wavaa kobazi hao hapo wanawabuluza kutoka kwenye vifaru
muvi zimekuharibu sana , unahisi kuna vita bila hasara kwa upande unaoshinda vita , ungekuwa timamu ungejiuliza 7th oct walikuwa wameivamia Israel ila leo wanapigana wakiwa mashimoni mitaan kwao Gaza , je walijirudisha nyuma wenyewe au walirudishwa nyuma kwa kipigo
 
Gaza ni kisehemu kidogo sana kama Kigamboni mpaka leo unaenda mwezi wa 3 wameishindwa kujua mateka walipo pamoja na Hamas wameishia kushambulia hospitali, shule, wanasema Hamas wamo humo wanauwa watoto na wanawake tu.
kwan hoja yao ilikuwa mateka au kuwamaliza hamas?
 
Tulieni. Kazi inaendelea..
 
Mateka tu wameshindwa kujua walipofichwa sembuse kuwafuta mgambo wa Hamas.
Wewe ndo hujui, iDF wanajua siku nyingi kuwa wamo ndani ya mashimo yenye malango misikitini, hospitali, apartments, nk
 
kwan hoja yao ilikuwa mateka au kuwamaliza hamas?
Wewe punguani kweli unaniuliza maswali ya kishoga.
Wewe kila siku ni kutukana Waislam kuna mtu kakuuliza au kukataza? Usiulize tena maswali ya kishoga.
 
Tulieni. Kazi inaendelea..
🛑| 🇾🇪 Taarifa iliyotolewa na Wanajeshi wa Yemen:

1. Utayari kamili wa kuanza tena operesheni za kijeshi dhidi ya malengo ya Israeli kwenye bahari na nchi kavu, ikiwa itaamua kuanzisha tena uvamizi wake huko Gaza.

2. Jeshi la Yemen linaendelea kuzuia meli za Israel katika Bahari Nyekundu na litachukua hatua zaidi kuhakikisha utekelezaji kamili wa uamuzi huu.

3. Operesheni za kijeshi zitakoma mara moja baada ya kusitishwa kwa uvamizi wa Israel dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
 
EPACopyright: EPA

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu pia ametoa taarifa baada ya kukutana na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken mjini Tel Aviv hii leo.

Alitaja shambulio baya la Jerusalem leo asubuhi, ambalo Hamas ilidai kuwa lilitekelezwa na wanachama wake. Netanyahu alisema ni "Hamas hao hao ambao wanajaribu kutuua kila mahali". "Nilimwambia: Tumeapa, nimeapa, kuwaondoa Hamas. Hakuna kitakachotuzuia."

Netanyahu anasema alimwambia Blinken kwamba Israel itaendeleza vita hadi ifikie "malengo matatu", ambayo anasema ni: "Kuwaachilia mateka wetu wote, kuwaondoa kabisa Hamas na kuhakikisha kwamba hakuna tishio kama hili litakalotokea tena kutoka Gaza."

BBC Swahili
Hamas ni kama mti Tena mlongelonge...ukiukata unachipua Tena.
 
Magaidi watafutwe popote pale walipo na kushughulikiwa. Hata JW ilifunga kazi hapo kibiti kutokana na tishio la ugaidi
Ngoja tusubiri , lakini msije kubadilisha maneno kama mlivyo badilisha maneno baada ya Netanyau kukaa meza moja na na kukubali kutimiza matakwa ya hao magaidi ili mateka waachiwe baada ya jeshi lake kushindwa kuwaokoa.
 
Tulia Hamas wafungiwe kazi. Unalia nini ustazi?
 
🛑| 🇾🇪 Taarifa iliyotolewa na Wanajeshi wa Yemen:

1. Utayari kamili wa kuanza tena operesheni za kijeshi dhidi ya malengo ya Israeli kwenye bahari na nchi kavu, ikiwa itaamua kuanzisha tena uvamizi wake huko Gaza.

2. Jeshi la Yemen linaendelea kuzuia meli za Israel katika Bahari Nyekundu na litachukua hatua zaidi kuhakikisha utekelezaji kamili wa uamuzi huu.

3. Operesheni za kijeshi zitakoma mara moja baada ya kusitishwa kwa uvamizi wa Israel dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
Sawa! We endelea kutetea mabwana zako wa kiarabu ila muda ndio utaamua.
Time will tell
 
Hakuna sasa kitachowazuia wapenda haki duniani na wao kuisambaratisha Tel Aviv.

Anaefikiri Wapalestina watamalizwa peke yao tu huyo ni mjinga.
Kwan we kwa akili yako Israel iko peke yake. Ingezen pua muone
 
Back
Top Bottom