Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

Njoo tupige tofali za kuchoma hapa morogoro.ila uwe na nguvu za kutosha
 
Kufanyq kazi ya kujitolea kwa zaidi ya miezi 6 ni kujitakia maisha magumu, Sheria inabidi ipitishwe max miezi 6 ikizidi mtu aanze kulipwa.
 
Wanangu majobless,

Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
Sema sheria ndio za ajira hakuna.

Ukija kampuni na sehemu nyingi ajira walio kuwana ajila kamili ni wa chache.Mfano kuna mzee mmoja yupo tanesco ajawai kuajiliwa wala kupewa ajira ila anajitolea mpaka leo.
 
Shule binafsi,na viwandani siku hizi wanaajiri wafanyakazi wachache wengi uchukua wanaojitolea na kuwapigisha KAZI sana ili kupunguza gharama za kuajiri watu
 
Sema sheria ndio za ajira hakuna.

Ukija kampuni na sehemu nyingi ajira walio kuwana ajila kamili ni wa chache.Mfano kuna mzee mmoja yupo tanesco ajawai kuajiliwa wala kupewa ajira ila anajitolea mpaka leo.
Eeh yaaninkajitolea hadi kawa mzee sasa anaishije ishije na familia huyo?
 
Eeh yaaninkajitolea hadi kawa mzee sasa anaishije ishije na familia huyo?
Nenda pale clouds fm uwone watu kwanza yani wanaolipwa hata 20 hawafiki.Nenda Azam kwenye viwanda vyake unaweza kuona watu wengi lakini ni kama wanajitolea maana sio ajira rasmi wala mkataba kamili
 
Wanangu majobless,

Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
MKBH yule jamaa mwenye ile channel ya youtube ya tech anasema, usinunue vitu kwa msingi wa ahadi ya kuwa vitapokea vipengele vipya siku za usoni. Na mimi nashauri watu wasiishi katika ahadi. Mimi hata katika ufanyaji kazi ni kwamba tupatane ya sasa hivi si kwa kunipa ahadi eti siku za usoni utanipa kazi kubwa nipate pesa nyingi.
Mkuu kujitolea ni kuzuri ila unaweza kujitolea kwa muda mrefu na mtu asikuajiri aajiri mwingine.
 
Back
Top Bottom