Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

Nenda pale clouds fm uwone watu kwanza yani wanaolipwa hata 20 hawafiki.Nenda Azam kwenye viwanda vyake unaweza kuona watu wengi lakini ni kama wanajitolea maana sio ajira rasmi wala mkataba kamili
Kwa hiyo sehemu nyingi ni mwendo wa kubangaiza bangaiza tu..
Dah.. nchi yetu bado sana..kelele ndio nyingi tu.
 
Kwa hiyo sehemu nyingi ni mwendo wa kubangaiza bangaiza tu..
Dah.. nchi yetu bado sana..kelele ndio nyingi tu.
Nchi hii ukianza kuangalia watu wanavyo fanya ushenzi we acha tu.
hao mnawaita matajiri ni watu wa ovyo.
 
Aisee fungua ubongo pambana na biashara na utumishi achana na huo upumbavuu
 
Wenzako mwisho wa mwezi sura zao zinaashiria nuru lakini wewe huna cha mwisho wa mwezi..

Vijana tusiogope kazi kujitolea ni dalili ya uvivu..
 
Back
Top Bottom