BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
Wasomi wetu wanabagua kazi, mpaka umachinga wanaudharauKuna kazi nyingi, za kuchoma mahindi, kutembeza karanga, kuuza vitumbua, genge la matunda n.k na zote zinaingiza hela.
Sasa mtu umesomea sijui development studies ukapambane na mtaalamu wa meno kweli! kuna baadhi ya fani zinatakiwa zifutwe ili zile hela wanazotumia kulipia ada wafanyie mtaji.Wasomi wetu wanabagua kazi, mpaka umachinga wanaudharau
Sahihi mkuuSasa mtu umesomea sijui development studies ukapambane na mtaalamu wa meno kweli! kuna baadhi ya fani zinatakiwa zifutwe ili zile hela wanazotumia kulipia ada wafanyie mtaji.
Sahihi mkuu
Sema sheria ndio za ajira hakuna.Wanangu majobless,
Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
Eeh yaaninkajitolea hadi kawa mzee sasa anaishije ishije na familia huyo?Sema sheria ndio za ajira hakuna.
Ukija kampuni na sehemu nyingi ajira walio kuwana ajila kamili ni wa chache.Mfano kuna mzee mmoja yupo tanesco ajawai kuajiliwa wala kupewa ajira ila anajitolea mpaka leo.
Nenda pale clouds fm uwone watu kwanza yani wanaolipwa hata 20 hawafiki.Nenda Azam kwenye viwanda vyake unaweza kuona watu wengi lakini ni kama wanajitolea maana sio ajira rasmi wala mkataba kamiliEeh yaaninkajitolea hadi kawa mzee sasa anaishije ishije na familia huyo?
MKBH yule jamaa mwenye ile channel ya youtube ya tech anasema, usinunue vitu kwa msingi wa ahadi ya kuwa vitapokea vipengele vipya siku za usoni. Na mimi nashauri watu wasiishi katika ahadi. Mimi hata katika ufanyaji kazi ni kwamba tupatane ya sasa hivi si kwa kunipa ahadi eti siku za usoni utanipa kazi kubwa nipate pesa nyingi.Wanangu majobless,
Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.