TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Mojawapo wa Ushahidi Kuwa Jambo, Kiumbe au hali fulani Ipo Ni kwa Kila Kabila na Lugha za Dunia yote Kuwa Na jina la Kiumbe, Jambo au hali hiyo.
Mfano Sisi Kule Rombo Nilikozaliwa, Nimekuta Watu Wakimwita Tembo, Nshofu, Kwa Kuwa Tembo Yupo, Wasukuma, Waitaliano, Wahindi, Wamasai, na hata kwa wale ambao Maeneo yao Tembo hawapo bado wana neno la Kumita. Kwa Kuwa Tembo Yupo.
Nilikuta Pia Watu Wamwita Chui Ngulamu kwa Kuwa Yupo, Nikakuta Wakimwita Fisi Isisi Kwa Kuwa Yupo, Nikakuta Wakiita Mbwa, Kite Kwa Kuwa Yupo, Nikakuta Wakiliita Jua Ruva Kwa Kuwa Lipo.
Cha ajabu Nilikuta Wakiita Mamaid, Nduva, Lakini Huyu Mamaid au Kwa Kiswahili Nguva, hayupo, Iweje Makabila yote ya Dunia wawe na Jina la Kiumbe wa Kufikirika Tu Tena Wote Wanaamini Kuwa Ni samaki Mtu?