Hakuna kitu kibaya kama yafuatayo

Hakuna kitu kibaya kama yafuatayo

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Hakuna kitu kibaya kama

Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnya๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyuku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

kukataliwa na mpenzi wako mbele ya kadamnasi siku mnafunga ndoa..๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

Unaunga bando lako freeeeshi ili umpigie mpenzi wako mara paap unaambiwa hapatikani...๐Ÿคช๐Ÿคช

๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ก๐š๐ฉ๐จ ๐œ๐ก๐ข๐ง๐ข
 
Kwenda kupiga kura wakati kuna chama ambacho hakitegemei kura ya mtu katika kushinda uchaguzi.
7nbv654311.jpg
 
...Kukoswa akili na maarifa
...kukua umri ila akili ikabakia ya kitoto
....kumaliza chuo ukaenda kuangaliana na mzazi home.
 
Back
Top Bottom