Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Hakuna kitu kibaya kama
Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnya๐๐๐
Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyuku๐ ๐
kukataliwa na mpenzi wako mbele ya kadamnasi siku mnafunga ndoa..๐๐๐
Unaunga bando lako freeeeshi ili umpigie mpenzi wako mara paap unaambiwa hapatikani...๐คช๐คช
๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ก๐๐ฉ๐จ ๐๐ก๐ข๐ง๐ข