Hakuna kitu kibaya kama
Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnyaπππ
Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyukuπ
π
kukataliwa na mpenzi wako mbele ya kadamnasi siku mnafunga ndoa..πππ
Unaunga bando lako freeeeshi ili umpigie mpenzi wako mara paap unaambiwa hapatikani...π€ͺπ€ͺ
ππ§πππ₯ππ π‘ππ©π¨ ππ‘π’π§π’