Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama hiki

Wewe niliwahi fanya hilo kosa, amani na ham ya kulala ilipungua saa 04:33 kabla ya alfajiri nishaamka kurudi ngomeni na niliapa sitorudia hiyo kitu! Bora ukose usingizi kwako ila sio ugenini

Hata wao wana amani wakiwa kwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…