Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hapa kashamaliza kumjambisha mwenye nyumba. Maana huwa mnajamba katikat ya zoezi...Yanalalaga tu na kujamba juu
Pruuuuuui..
Praaaaaaaaaa
Pratatatatatat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kashamaliza kumjambisha mwenye nyumba. Maana huwa mnajamba katikat ya zoezi...Yanalalaga tu na kujamba juu
Hahahahaha sawa RafikiRafiki eti hata Sijui kwa nini na mimi nimecheka. Lol
Ushaona Raisi akaacha ikulu akaenda kulala Bungeni?WANAUME kwann mnapataga ugumu...pale mwanamke anapokuhitaji
Uende ukalale kwake???
🤝Hahahahaha sawa Rafiki
😂😂😂😂🙊Hapa kashamaliza kumjambisha mwenye nyumba. Maana huwa mnajamba katikat ya zoezi...
Pruuuuuui..
Praaaaaaaaaa
Pratatatatatat
😂😂😂 ndo ivo cuteHahahaaa. Lol.
😂😂😂😔Ila haya masimango yenu ndio yanafanya tunaojielewa tukwepe sana kulala kwa mwanamke! Hapo utakuta ukikutana na mashosti zako ndio unawaambia "yaani limelala pale linajamba jamba tu.."
Nyie mkija kwetu mnajamba, mnatukojolea vitandani, mnatuachia miharufu yenu ndani lakini maskini ya Mungu sisi wala hua hatulalamiki 😒
😂😂😂😂😂😂 ndo ivo cute
Majuto huanza pale unaposikia, mlango unagongwa saa 3 Usk wakati kidume upo na Boxer ta Draft yenye maandishi ya Timberland ukijiweka sawa kumung'unya bungo, mbaya zaidi nyumba iwe single Entry, afu sponsor awe mjeda fulani aliyekuwa Darfur ama Congo DRC wakati fulani.....WANAUME kwann mnapataga ugumu...pale mwanamke anapokuhitaji
Uende ukalale kwake???
acha tu mkuu kuna siku nitawaelezea humu jukwaaniKwa nini mwamba wewe kila kitu huwa unalia tu ????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanalalaga tu na kujamba juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlipa kodi akikukuta, juwa 0659 yako ni halali yake..
😂😂🤣🤣ndo umeona leo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu sasa utapelii, khaaahHow...siyo rahisi kuna jamaa yangu aliingiaga huo mtego, alichukua manzi pale Samaki Samaki, manzi akajifanya anaroom yake Survey, so wakakubaliana walipane 50k.
Basi wakatoka hapo kwenda room ya manzi. Kufika room wakaanza saula, kabla hawajaanza manzi akasema nipe laki yangu kabisa. Jamaa pombe ikakata, ameshangaa bei imepanda ghafla. Manzi akakomaa nipe laki yangu kabisa kabla hatujaanza. Jamaa hapo akaanza kubisha inakuaje amepandishiwa bei, manzi akasema ukiendelea kuleta ubishi nakupigia kelele za mwizi au umenibaka. Jamaa akaendelea kuleta utata, kumbe wale mamanzi wanapokuwa wanatoka kuna boda huwa wanawafuata kwa nyuma so haikupita daka tano tayari jamaa akawa ameshajaziwa nzi, demu akabadilisha mada kwamba jamaa amemla hataki kumlipa. Basi likawa zogo pale. Jamaa ili kuepusha dhahama maana majirani wa vyumba vingine walishaanza kutoka (huenda nao ni wapangaji kama yule manzi) na wale vijana wa boda walishaanza kumsachi ikabdi tu alipe ili aondoke pale. Basi ndo siku ikawa imaeisha hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wengi sana,kwani nahesabu sasa mkuu[emoji17]
Nilimjibu alichotaka kusikia😆🤨[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majuto huanza pale unaposikia, mlango unagongwa saa 3 Usk wakati kidume upo na Boxer ta Draft yenye maandishi ya Timberland ukijiweka sawa kumung'unya bungo, mbaya zaidi nyumba iwe single Entry, afu sponsor awe mjeda fulani aliyekuwa Darfur ama Congo DRC wakati fulani.....
KabisaaaNilimjibu alichotaka kusikia[emoji38][emoji2955]
ndo sahivi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]ndo umeona leo?
🤣🤣🤣🥴ndo sahivi hii [emoji23][emoji23][emoji23]