Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama hiki

😂😂😂😔
 
WANAUME kwann mnapataga ugumu...pale mwanamke anapokuhitaji

Uende ukalale kwake???
Majuto huanza pale unaposikia, mlango unagongwa saa 3 Usk wakati kidume upo na Boxer ta Draft yenye maandishi ya Timberland ukijiweka sawa kumung'unya bungo, mbaya zaidi nyumba iwe single Entry, afu sponsor awe mjeda fulani aliyekuwa Darfur ama Congo DRC wakati fulani.....
 
Huu sasa utapelii, khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…