Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Usiwe na wasi mkuu upo pamoja na mzalendo namba moja wote hamuwezi kuongea kiingereza kwa ufasaha
Hahaha, jamaa ana pronunciation ya kifaransa maana kwenye kiingereza hakuna neno linalotamkwa sauti 'e' mwishoni.mbona simpo tu ? wia dona kantre. anza kuzungumza kama raia wa kwanza nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
usijali ndo kuanza hukoHahaha, jamaa ana pronunciation ya kifaransa maana kwenye kiingereza hakuna neno linalotamkwa sauti 'e' mwishoni.
Dah sijui nikujibuje ila naomba tu nikuulize kuwa kwani wanaolima hawaruhusiwi kujua kiingereza au kiingereza ni kwa ajili ya akina anani?
Hata ukijifunza ukajua utazungumzia wapi? Au huko kijijini kwenu wanatambaa na ngeli? Maana lugha inazaliwa inakuwa na isipotumika inakufa piaHusika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
Husika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
mbona simpo tu ? wia dona kantre. anza kuzungumza kama raia wa kwanza nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
safi haya sema intrapritunuaaawia dona kantre
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]