Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, amini usiamini. Hata kiswahili bado haujakimudu. Kanuni za uandishi bado hauzijui. Herufi kubwa inapobidi, mkato, alama mbalimbali nyingine kama vituo, mshangao, kuuliza nk. Anza na kiswahili kwanza ndipo uhamie kiingereza. Utafanikiwa.Husika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
Tafuta vitabu vya story fupi fupi xa Kiingereza, hata vya shule ya msingi vya Kiingereza vitakusaidia, download Dictionary kwenye simu yako ya English Swahili au ununue ya kitabu kabisa uwe unajifunza utaimprove uwezo wako sana. Japo kuongea kiingeteza yabidi ukae na watu wanaoongea ufanye mazoezi ya kuongea pia. Ila muhimu ukijua kusoma na kuandika kuongea sio ishu sana, maana 80% ya watz hawawezi kuongea English vizuri, sio lugha yetuHusika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
Mkuu mbona simple, moja nikupe pongezi maana umeshalijua tatizo lako, kuna kitu kinaitwa just a minutes, how does this work?, first unaitaji kuwa na kioo kikubwa ( ambacho unaweza kukiweka ukutani au mahali popote ambapo utaona Panafaa, then you need to have a recorder, in this case your mobile phone can be used as recorder. Another thing needed is a stop watch,. Sasa basi baada ya kuwa na hivi vitu nini unatakiwa kufanya?
Hapa unatakiwa kuongea maneno yoyote yale au kitu chochote kile kwa kingereza ndani ya dakika kumi huku ukijirecord. Mfano
My name is mmea, I'm 25 years old, the last born in a family with five members, I started primary school at mtakuja primary school in 1999. Then I was selected to join Nenda secondary school in 2007, then after that I got the chance to join kibasila high school for my advance studies. I went to the university of Dar es salaam where I graduated with barchalor of commerce in banking and finance.
Or you can talk about other topics, kwa mfano
What is your favorite mode of transport
My favorite mode of transport actually it is a bus, because first it is one of the cheapest mode of the transport in a place that I'm living if I compare it with other mode of transportation, but not only that in this mode of transport I get the chance to meet with interesting people and make some friend with them But also I get the chance to see nice scenery. If your luck enough you might meet with a lover of your life, like the way it happened to jack and rose in Titanic though they were not in a bus , quite the scandal, it is also one of the fastest mode of transport in my city ( Dar es salaam) because It only takes 20 min to get around a city.
Kama unavyoona ila sasa lazima ujiweeke condition
Kwa mfano
Hakuna kuweka pause, hakuna kurudia rudia sentence Moja Mara nyingi.
Baada ya kufanya zoezi hilo play kile ulichokirecord utaona sehemu ambazo ulikuwa unakosea, Hakikisha unazifanyia kazi, lakini kioo kitakusaidia pia kuongeza level of confidence baada ya miezi 3 tafuta watu wa kuongea nao trust me, utaona jinsi ulivyo improve. Nakutakia kila la heri katika safari yako ya kujifinza kimalkia.
Mkuu kumudu kuongea lugha fluently unahitaji kuwa na exposure, ni vigumu kuishi nanjilinji ambako zaidi ya kuongea kilugha basi ni kiswahili kibovu halafu utegemee kutema yai. Jaribu kuhamishia makazi yako katikati ya jiji la London angalau kwa miaka 5 inaweza kusaidia
Tafuta vitabu vya story fupi fupi xa Kiingereza, hata vya shule ya msingi vya Kiingereza vitakusaidia, download Dictionary kwenye simu yako ya English Swahili au ununue ya kitabu kabisa uwe unajifunza utaimprove uwezo wako sana. Japo kuongea kiingeteza yabidi ukae na watu wanaoongea ufanye mazoezi ya kuongea pia. Ila muhimu ukijua kusoma na kuandika kuongea sio ishu sana, maana 80% ya watz hawawezi kuongea English vizuri, sio lugha yetu
Penye nia pana njia
1. Nunua vitabu vya English lessons vya primary school usome na ufanye mazoezi.
2. Tafuta vinapouzwa vitamu used upate vitamu vya hadithi vya watoto wa umri wa kati. Lugha itakuwa nyepesi uwe unasoma.
3. Tafuta rafiki kama Mganda uwe unawasiliana nae.
Nimetaja Uganda kwasababu 2017 UNESCO iliitambua Uganda kama nchi inayoongea Kiingereza fasaha katika Africa.