Hakuna kitu kama laana...laana ni scam!... zembea hapa duniani ukata ufuta ukung'ang'anie hiyo inakuwa ndo 'laana' eti laana hakuna hicho kituUkweli ni upi? Binafsi huwa naamini hata kwenye kinachoitwa cha uongo kunaweza kuwa na chembe ya ukweli.
Sijakuelewa.Hakuna kitu kama laana...laana ni scam!... zembea hapa duniani ukata ufuta ukung'ang'anie hiyo inakuwa ndo 'laana' eti laana hakuna hicho kitu
Usipompa Mchungaji wako asilimia 10 ya kipato chako maisha yako yatavurugikaMara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo
Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo
Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote, uongo
Usipowasaidia wazazi wako,ndugu wakikasirika na kukunenea maneno mabaya basi lazima utese tu, uongo
#Be open minded
Laana ni scam...niseme nini zaidi ya hapo mwanabodiSijakuelewa.
Sawa mkuu.Laana ni scam...niseme nini zaidi ya hapo mwanabodi
umepiga mulemule....😁😁😁😁Hiyo ni pure emotional blackmail inayotumiwa na wazazi au ndugu waliofeli maisha ili kuwalazimisha watoto wao wawasaidie kwa nguvu. Mtu timamu huwezi kutumia vitisho vya laana kudai upendo au msaada.
Point“Tatizo ni kuchanganya laana na matokeo ya maisha. Mtu anaweza kumkosea mzazi na maisha yake yakawa magumu kwa sababu ya tabia, kukosa msaada wa familia au migogoro—lakini hiyo si ushahidi kwamba ametupiwa laana. Kama kila maneno mabaya ya mzazi yangekuwa lazima yatimie, basi dunia ingekuwa imejaa watu waliolaaniwa na wazazi wao. Heshimu wazazi, wasaidie, lakini usiishi kwa hofu ya laana.”
Uko sahihiKinachoweza kuwa na nguvu ni imani na hofu, ukiamini sana ume laaniwa, unaweza kuishi kwa hofu, msongo na kutafsiri kila jambo baya kama uthibitisho wa laana.
Kwa kifupi: maneno yanaweza kukuumiza kisaikolojia, lakini si uchawi unaohakikisha hatima yako.
Uko sahihi.Binafsi huwa naamini hata kwenye kinachoitwa cha uongo kunaweza kuwa na chembe ya ukweli.
Safi!hata kwenye kinachoitwa cha uongo kunaweza kuwa na chembe ya ukweli.
Vipi kwa wazazi wasiowaheshimu Watoto wao?Waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na Kheri duniani
TUANZIE HAPO
Heshima ni chini kwenda juuVipi kwa wazazi wasiowaheshimu Watoto wao?