Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.Laana haipo kwa maana ya hayo madanga yaliyokosa kujipata
Laana sio Msemo wa mazoea kama wamatumbi wameita.
Laana ipo kwakuwa kila kitu kinajirudi 'Karma
Ikimaanisha baba na mama ndio mwalimu wa maisha ya watoto wao, wazazi ndio wachonga njia wa maisha, mwenendo, tabia na ufahamu wa mtoto wao ili kuweza kucope na walimwengu. Asiyefunzwa na wazazi wake atafunzwa na walimwengu. Haina maana nyingineWaheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na Kheri duniani
TUANZIE HAPO
Unaongeleaje swala la wazazi wanao-harass na ku-bully Watoto wao kwa Kuwatukana, kuwapiga kuzidi kipimo n.k?Heshima ni chini kwenda juu
Unavuna, ulichopanda haijalishi inachukua muda gani ila muda wa Mavuno utafika tu.Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.
Unaweza tenda mabaya na kupeta fresh tu kama Hangaya.
Unaweza kuwa mwema na kikakuramba hadi ushangae.
The chips will always fall where they may.
Unavuna, ulichopanda haijalishi inachukua muda gani ila muda wa Mavuno utafika tu.
To every Action, there's equal and Opposite Reaction.
Tatizo ni Unataka wavune kwa namna unayoamini wewe, Ila Uhalisia ni Kila mtu anavuna kwa namna yake. Na ni hapahapa Duniani, sio huko pa kusadikika Mbinguni.Ingekuwa hivyo Afrika ingekua inaongoza kwa utajiri wa hali na mali badala yake mizungu iliyotutawala inatuzidi kila kitu hadi dhambi. Nyie mtalipwa mbinguni ndo mnavyojidanganya.
Tatizo ni Unataka wavune kwa namna unayoamini wewe, Ila Uhalisia ni Kila mtu anavuna kwa namna yake. Na ni hapahapa Duniani, sio huko pa kusadikika Mbinguni.
Mtu awe mvivu alafu awe na mafanikio? Mtu aendekeze zinaa alafu Asipate maradhi? Uliona wapi Boss?
Usipojituma Utatumwa ambapo ni matokeo ya Uvivu.
Unaechanganya madesa ni Wewe, Karma ni tofauti kabisa na izo mambo za kusadikika Baraka na Laana.Unachanganya madesa.
Hapa inazungumziwa laana, baraka na karma.
Uvivu na maradhi sio matunda ya either hapo juu.
Huu ndio ukweli mchungu ambao Waswahili wengi hawaelewi.Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.
Unaweza tenda mabaya na kupeta fresh tu kama Hangaya.
Unaweza kuwa mwema na kikakuramba hadi ushangae.
The chips will always fall where they may.
😂😂ety Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote, nani hivi anasemaga ivoMara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo
Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo
Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote, uongo
Usipowasaidia wazazi wako,ndugu wakikasirika na kukunenea maneno mabaya basi lazima utese tu, uongo
#Be open minded
Waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na Kheri duniani
TUANZIE HAPO
Na ndio maana nasema hata kwenye jambo lenye sura ya uongo kunawezekana kuwa kuna chembe ya ukweli na hata kwenye jambo lenye sura ya ukweli kunaweza kuwa na chembe za uongo, shida kila mmoja anapotaka kushika upande wake uwe ndio sahihi kwa 100%, hali inayotufanya tushindwe kuchunguza uhalisia wa jambo husika.Neno hujenga kitu kama endapo neno litatoka kwa mtu ambaye anamanunguniko juu yako kwa kumtendea dhuruma au uonevu flani
Mfano huku kunafamilia mama mmoja alikuwa anaumwa akawa amekosa mlezi akatuma taalifa kwa mtoto wake lakini hakufika akatuma tena kwa mara ya pili akafika
Mama yule akawa anasaidiwa na jirani alipokalibia kufa akamwambia mwanangu akija kwenye msiba wangu watoto zake ote hawatazaa
Mpaka leo watoto wake wapo 2 hata mmoja hajawahi kuzaa na jee kama laana haipo inakuwaje kwa ambao huwa inawapata
Neno hujenga kitu kama endapo neno litatoka kwa mtu ambaye anamanunguniko juu yako kwa kumtendea dhuruma au uonevu flani
Mfano huku kunafamilia mama mmoja alikuwa anaumwa akawa amekosa mlezi akatuma taalifa kwa mtoto wake lakini hakufika akatuma tena kwa mara ya pili akafika
Mama yule akawa anasaidiwa na jirani alipokalibia kufa akamwambia mwanangu akija kwenye msiba wangu watoto zake ote hawatazaa
Mpaka leo watoto wake wapo 2 hata mmoja hajawahi kuzaa na jee kama laana haipo inakuwaje kwa ambao huwa inawapata
🤔Heshima ni chini kwenda juu