secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
tofauti na laana kuna matatizo binafs ambayo unaweza ukayapitia ukazani ni laana kwa hiyo wengne wanamapungufu yao binafsi hata hao inge tokea mmoja wao anazaa basi hatuwez kusema ni laana hili tutaamini couse aliosema hawata zaa ni wa kike pekee ila wa kiume wanazalishaVp hawa ambao ni wema na hawana watoto hadi leo?
Dogo hujakutana na vizingiti visivyo na tafsiri.!Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.
Unaweza tenda mabaya na kupeta fresh tu kama Hangaya.
Unaweza kuwa mwema na kikakuramba hadi ushangae.
The chips will always fall where they may.
Kaka Mondi na Alikiba mziki wamejifunzia wapi...! ?Hakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...
HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.😎
Sijui walijifunzia wapi, lakini walijifunzia. Hawakuzaliwa nao, yaani hawana vipaji.Kaka Mondi na Alikiba mziki wamejifunzia wapi...! ?
Ajabu wana ladha.!?
Dogo hujakutana na vizingiti visivyo na tafsiri.!
Ila baki ulipo ni jambo jema pia
tofauti na laana kuna matatizo binafs ambayo unaweza ukayapitia ukazani ni laana kwa hiyo wengne wanamapungufu yao binafsi hata hao inge tokea mmoja wao anazaa basi hatuwez kusema ni laana hili tutaamini couse aliosema hawata zaa ni wa kike pekee ila wa kiume wanazalisha
Kaka acha kijichoSijui walijifunzia wapi, lakini walijifunzia. Hawakuzaliwa nao, yaani hawana vipaji.
Sawa kuwa na kheriWajinga na wavivu wa kufikiri mnapenda sana kujificha kwenye kichaka cha "hujakutana na vizingiti".
Wamatumbi na ujinga:
View attachment 3650301
Mkuu unatafuta umaarufu kwa hali na maliHiyo ni pure emotional blackmail inayotumiwa na wazazi au ndugu waliofeli maisha ili kuwalazimisha watoto wao wawasaidie kwa nguvu. Mtu timamu huwezi kutumia vitisho vya laana kudai upendo au msaada.
Kaka majini yana utaratibu mwingi sanaSijui walijifunzia wapi, lakini walijifunzia. Hawakuzaliwa nao, yaani hawana vipaji.
Mkuu usiwalishe matango pori kumbuka wazazi wako ndo wamekuleta duniani sehemu ya nguvu yao ipo kwako wakitaka wachukue chao huwezi wafanya loloteHiyo ni pure emotional blackmail inayotumiwa na wazazi au ndugu waliofeli maisha ili kuwalazimisha watoto wao wawasaidie kwa nguvu. Mtu timamu huwezi kutumia vitisho vya laana kudai upendo au msaada.
Wazazi wametuleta duniani kwa sababu ya kukutana kwa sperm and egg, huo ni mfumo wa kibaolojia na sio kwamba walifanya miujiza. Hakuna nguvu ya siri inayobaki kwangu, DNA ikishajitengeneza mimi ni kiumbe huru. Grow up, acha kuishi kwenye ramli za kale.Mkuu usiwalishe matango pori kumbuka wazazi wako ndo wamekuleta duniani sehemu ya nguvu yao ipo kwako wakitaka wachukue chao huwezi wafanya lolote
Kaza shingoWazazi wametuleta duniani kwa sababu ya kukutana kwa sperm and egg, huo ni mfumo wa kibaolojia na sio kwamba walifanya miujiza. Hakuna nguvu ya siri inayobaki kwangu, DNA ikishajitengeneza mimi ni kiumbe huru. Grow up, acha kuishi kwenye ramli za kale.
Acha kuishi kwenye ramli za kizamani na za kijinga mdogo wangu.Kaza shingo
Mi naishi kwenye natureAcha kuishi kwenye ramli za kizamani na za kijinga mdogo wangu.
malaika wapo dunianiHakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...
HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.