hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiamini

Research zipo jitafutie google is free. Hata research za kuhusu ushirikina zipo hadi chuo cha UD kimewahi kufanya research hiyo na conclude hizo ni story za kusadikika zinazoaminiwa na wajinga. Tatizo wabongo wamekumbatia ujinga kuliko kitu chochote kile. Bora wafe njaa kuliko kuacha ujinga. Ujinga bado ni janga namba moja la taifa.
 
Kipaji kipo,
 
kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiamini
Hapa ni mwendo wa kuwamba ngoma tu kila mtu anavuta kwake, kila mmoja anaona yeye ndio sahihi na upande wa mwenzie kunakuwa na majibu ya kudhania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…