Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
Wacha nije turuke pamoja kwaajiri ya kukuza kifaranga nilichokikamata😂kwa pamoja tukileee mpk kikue nachokianzishe kayak yake ya makindaJamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Ndio shemeji 😀Huyu aki pigwa vizuri, ata eleza bangi ana nunuaga wapi
Janelle naomba namba yako,turuke.Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
LoveShauri yenu, mtakuja kuomba maji …
Ila jannelle unapenda kujilipua, tutakua tunashindwa kukutetea wakikuvaa humu kwenye replies.Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Tutaiweka kila mkoa... Wenzako wakitambua hili ndoa zitadumu sanaViwanja vya BUNGE
Sanamu lako la Dhahabu lipo njian nakutengenezea, utachagua location tuliweke wap mtoto mzr 😘😘Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema "kwani ulikuja bure hapa?? si nilikulipia mahali"🥺
Sawa namaliza kwakusema tena hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu, so ukipata wa kuruka nae we ruka nae tu bt at your own risk😂
Kisses
Hili swali aulizwe Nabii Isaya aliyeandika hayo maneno....🤣🤣🤣 Furuuu washakushikilia wangapi?