Hakuna kitu kinaitwa โ€œmume wa mtuโ€

Hata mama ako hana mume ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ni upuuzi kabisa kudeal na mwanamke mwenzako kisa mwanaume, miki nitajuaje kama huyo mwanamke alietongozwa na mume wangu kama anajua ana mke? Wanaume hawana shukrani, utaokotesha makopo wangapi?๐Ÿšฎ Deal na mmeo na si huyo anaetongozwa napengine hajui lolote
 
Mume wa mtu yupo, wapo , wataendelea kuwepo. But hiyo title iko reserved kwa wale wanao stahili

Kama umekutana na ambae sie,pole but dont generalize
 
Mungu anakupa wa kufanana, hata ukiruka na mwingine ni lazima atakuwa wa kufafanana nawe,, utaendelea kuruka ruka hadi uzeeni, mana hata warukaji nao wanazeeka, endelea
Kwani ukiruka ndio huzeeki? Mawazo mazito
 
Kwa hiyo una maana mume ni mteja na mke ni bidhaa toka dukani mwa baba mwanangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ