Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

Wakubwa huyu binti tumpe ulinzi wa kutosha, atasafiri bure mabasi yote SGR na ndege za ATC wakati wowote atakapohitaji, aende vacation mara tatu kwa mwaka popote pale anapotaka on top of that atapewa fursa ya kuchagua chenye anataka
😂 Unapenda ujinga tu
 
Nina ndoa ya 2, mwaka wa 12 huu sijawahi toka nje ya ndoa hata mara Moja!
 
Hauko sahihi, hakuna mke wala mume wa mtu....wote wanaliwa tu tena bila kachumbari kama ulikuwa hujuwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…