Hakuna kitu kinaitwa โ€œmume wa mtuโ€

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ naomba ubuyu.
Nilijua tu kwenye ubuyu huwezi kuchomoa. Tena kuna huu nimeuona unatoka Madagascar. Utamu wake unaambiwa ni mpaka kwenye vidole ๐Ÿ˜œ

Nikutumie wapi sasa? Huko jangwani kwenye mibuyu mingi si ulishamalizana nako au bado? Toa mwongozo tu....
 
Utume kule kule kwa siku zote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Duuuh halali ya hatari. ndugu yetu kipenzi chetu mume wa mtu huyu ameanza kula karanga ili maisha yaendelee.
Kila anachotumia nyumbani kwake mama anawasiwasi kuingizwa kwenye grid ogopa sana TAMAA.
 
sio uwoga kwa mfano nakuja kukula wewe alafu mme wako ananimwagia tindikali nani mwenye hasara? au mke wangu anatufumania mimi na wewe, anakupiga kisu ? itakuaje?
Si ndio nimesema Do at your own risk dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ