Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Jibu swali, usikimbilie hisia. Unageneralize kua kila anaetamka anamaanisha kibao na sio number. Haufikirii kua huyu mtu atakua anatamka kwenye mazingira gani na akiwa anazungumzia nini. KOSA!!!Unataka ligi tu. Siku zote tunapotamka hatumaanishi zile namba zilizoandikwa tuna maanisha kibao chote
Dumelang
Kwakua uko online now basi nikusahihishe Kama ifuatavyo. Ungeandika kua Kile kibati cha number hakiitwi Plate Number ungekua uko sahihi. Lakini wewe unasema hakuna kitu kinaitwa Plate number duniani.