Jibu swali, usikimbilie hisia. Unageneralize kua kila anaetamka anamaanisha kibao na sio number. Haufikirii kua huyu mtu atakua anatamka kwenye mazingira gani na akiwa anazungumzia nini. KOSA!!!Unataka ligi tu. Siku zote tunapotamka hatumaanishi zile namba zilizoandikwa tuna maanisha kibao chote
Dumelang
Ndio hakuna. Kama imeudhika ANDAMANA[emoji6][emoji1]Jibu swali, usikimbilie hisia. Unageneralize kua kila anaetamka anamaanisha kibao na sio number. Haufikirii kua huyu mtu atakua anatamka kwenye mazingira gani na akiwa anazungumzia nini. KOSA!!!
Kwakua uko online now basi nikusahihishe Kama ifuatavyo. Ungeandika kua Kile kibati cha number hakiitwi Plate Number ungekua uko sahihi. Lakini wewe unasema hakuna kitu kinaitwa Plate number duniani.
Duh,Ndio hakuna. Kama imeudhika ANDAMANA[emoji6][emoji1]
Dumelang
Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari
Hii inaitwa Number plate
Yani kibao cha namba,
Kusema plate number ni sawa nakusema
Here come, badala ya come here au people black badala ya black people, au trailer Car badala ya Car trailer
Kwingine, yani nchi nyingine inaitwa Vehicle registration plate
Au licence plate ila sio hii yetu plate number. NI NUMBER PLATE
Number na plate ni vitu viwili tofauti. Plate inabeba namba, je namba zinazobebwa na plate zinaitwaje? [emoji23][emoji23]Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari
Hii inaitwa Number plate
Yani kibao cha namba,
Kusema plate number ni sawa nakusema
Here come, badala ya come here au people black badala ya black people, au trailer Car badala ya Car trailer
Kwingine, yani nchi nyingine inaitwa Vehicle registration plate
Au licence plate ila sio hii yetu plate number. NI NUMBER PLATE
Hapo ndipo uwezo wake wa kufikiri ulipoishia. Halafu anaelekezwa anakua mbishi.Number na plate ni vitu viwili tofauti. Plate inabeba namba, je namba zinazobebwa na plate zinaitwaje? [emoji23][emoji23]
Muungwana akivuliwa nguo huchutama, mwamba kakomaa kusimama.Hapo ndipo uwezo wake wa kufikiri ulipoishia. Halafu anaelekezwa anakua mbishi.
Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari
Hii inaitwa Number plate
Yani kibao cha namba,
Kusema plate number ni sawa nakusema
Here come, badala ya come here au people black badala ya black people, au trailer Car badala ya Car trailer
Kwingine, yani nchi nyingine inaitwa Vehicle registration plate
Au licence plate ila sio hii yetu plate number. NI NUMBER PLATE
Sijui kama atarudi aseeJamaa analeta ujuaji wakati hajui. Ukitaka kuwa mjuaji jielimishe kwanza sio unakuja mbio kwa kukurupuka.
Kwahiyo mkuu unataka kuniambia ukienda kwenye sehemu wanazosajilia magari wanatumia huu msamiati "number plate"?Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari