kuzaliwa pekeangu naenjoy sana..... naweza kukaa na wazazi wangu tukashauriana mambo kibao ya msingi na hata ya maendeleo, sina muda wa kujenga chuki kwamba nani anapendwa zaidi nani kafanikiwa kuliko mwenzake.... sina muda wa kuwaza kugawana mali.... jambo lolote wanalolianzisha au ninalolianzisha sina shaka kwenye usimamizi.....
japo nina watoto wawili ila nawalea waishi kama mmoja kubaguana kuwaza nani kamzidi mwenzake nq mambo kama hayo nimeyapinga kwa nguvu kubwa nikijua kesho watakua watu wazima wasije kunitesa kisa sikuweza walea vizuri.