Zenye shoobooo zaooo unapitwa shwaaa kama drone ya ๐ฎ๐ทkuliwa haiwezekani kwasababu sili mke.. na sijawai kula nke ya mtu na haitakaa ikatokea kula nke ya mtu.. mie nikijua hata mtu flani ana date na mtu flani siwezi sogea.. naheshimu sana mapenzi na mahusiano ya watu. Hapa na deal na chronic single zenywe upwiru wa ukoko ๐ ๐
๐ ๐ ๐ Hatari sio kidogoYaan sijui hata ilikuwaje maana nilikuwa nimpeleke br tukashtue garden bistol gafla nkaishia pale kumbe ๐ ๐คฃ ๐ ๐น ๐
Ukweli kivipi? Nakunywa pombe zaidi ya miaka 25 sasa .Huu ni ukweli kabisa
Mkuu nielekeze tafadhali! sitanii.Q-Bar nimekula sana matoto ya kizungu aisee .. na Kuna vi majani flani sijui jina lake ukiweka mfukoni umemaliza kazi
Masaki mkuuMkuu nielekeze tafadhali! sitanii.
Mbona wanywaji wengi ndo wana mafanikio kuliko wanaokanyaga mafuta ya upako
Binafsi nimeanza kunywa kabla hata sijamaliza form 4 miaka ya mwanzo ya 2000. Ni miaka zaidi ya 20 nakunywa hiyo pombe. Mafanikio yote nayopata huwa lazima nijipongeze na kinywaji murua.Narudis
Hakuna kitu kinaondosha baraka ya pesa kama zinaa na pombee
Ukishapataa tu ukaanza kuinunulia Malaya kuinunulia Pombe hata ukiitolea sadaka ya kujimaliza. Kitaumanaa tu
Namaanisha imeingia najiisiiiii
Na ikishaingia najisi tu
Ukishainajisi basi mda si mrefu zilizopo zote zinapotea na pale unaanza kukumbuka nilikosea wapi kumbe uliinajisi ama kuizallilisha pesa
Hapo Mungu Amendokaa kwenye kipato chakoo
Badilika badilisha maisha yako Mpendwa
N
Inafikirisha sana mkuuMbona wanywaji wengi ndo wana mafanikio kuliko wanaokanyaga mafuta ya upako ๐ญ
Kaka fafanua zaidi sisi lasaba B tumeachwa kwenye dailema kakaa..Hakuna kitu kama hicho hizi ni blabla tu๐ฎ
Vipi umefanikiwaNilianza kunywa baada ya kuambiwa ukitaka connection nenda bar
๐๐๐Bila kusahau punyeto