Hakuna kitu kinaondosha baraka za Pesa kama zinaa/Pombee

Umalaya ni gharama sana kuliko ulevi, nazungumzia kuwagonga madem wa kawaida mtaa na wale classic sio hao kichefuchefu wa 2500.

all in all,pombe na umalaya kama vimekupita pembeni, uko na maisha mazuri sana,maana hizi kitu ni kama " gereza",kutoka ni shida sana.

Mimi nakula " kaya" tu, no gharama,no hangover,no loosing appetite n.k
 
Sahihi baba mtumishi
 
Uzi una laana huu, umeandika sababu za watu kuacha pombe na uzinifu ili wabaki na baraka zao, lakini comments zote unawatafutia mpaka machimbo yenye unafuu, njia za kivita zote umewapa, unawasaidia Au unanizidi kuwadidimiza? kijana umeoza
 
Ni bangi hiyo?
 
Hivi ninyi walokole wa kuchaji ikitokea pombe na hyo zinaa mnayokemea ikaisha na nyie si mtafunga makanisa?
 
Mwamposa anakuharibu sana. Jusi hapa umemwita baba ili tu awatengenezee watoto wenu madawati. Hii ndo laana na najisi yenyewe. Kumwita mtu baba ambaye si baba yako ni dhambi kubwa mno kisa tu ana pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…