Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
 
Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.

Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.

Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
 
Ziko mbinu mkuu za kujua huyu me/ke mimi najua sana na naweza kukujua sana kabla ya kuonana, ukipita kushoto nakatisha kulia lazima nikunase.
Na lingine tunapenda I'd fake kwa kuwa utakaekutana nae ni og.
 
Ziko mbinu mkuu za kujua huyu me/ke mimi najua sana na naweza kukujua sana kabla ya kuonana, ukipita kushoto nakatisha kulia lazima nikunase.
Na lingine tunapenda I'd fake kwa kuwa utakaekutana nae ni og.
Naona Bado ujaelewa swali langu!
Kwa privacy za Jf SIWEZI kuwataja na itakuwa siyo uanaume!.
Kuna siku nilizungumzia kitu hiki.
Mods walinipa bann then wakafuta Na zile comments!!.

Narudia tena!..asilimia kubwa ya I'd fake za Kike ni majanaume!.

Tena unajua wanatumia mbinu Gani?
 
Taja mbinu bob tuwakamate hao
 
Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!

Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…