Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

unaweza kunijuza lengo lako humu ni nini hasa
maana sie wengine hatujajua.....kuchangamkiwa na mwanamke au kujifurahisha siku ziende
 
Hizo I'd za Kike ndiyo kama huyu.
Haya endeleeni kuoneana wivu Na kubebishana
Screenshot_2018-05-28-21-51-38.jpg
Screenshot_2018-05-28-21-52-05.jpg
Screenshot_2018-05-28-22-13-51.jpg
 
Uko sahihhi majuzi nliona mtu humu anajichatisha eti anaiambia id nyingine nakupenda sana,wewe ni mwanamke una akili na jasiri,ikabidi niicheck posts za ile id mpya mwe mwe nikagundua ni mwenyewe halafu huyo mtu mwenyewe ni kilaza kichwa box nlicheka sana
Haya nashangaaa wanao limbuka Na hizi I'd za jf
Screenshot_2018-05-28-21-51-38.jpg
Screenshot_2018-05-28-21-52-05.jpg
Screenshot_2018-05-28-22-29-21.jpg
 
Back
Top Bottom