Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Msalimie Ms LincolinBahati ya kumdangia haaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie Ms LincolinBahati ya kumdangia haaha
Haya nashangaaa wanao limbuka Na hizi I'd za jfUko sahihhi majuzi nliona mtu humu anajichatisha eti anaiambia id nyingine nakupenda sana,wewe ni mwanamke una akili na jasiri,ikabidi niicheck posts za ile id mpya mwe mwe nikagundua ni mwenyewe halafu huyo mtu mwenyewe ni kilaza kichwa box nlicheka sana
Hahaha mkuu unataka wasinikubali sio, haya kama umeamua kunitafutia njia mbadala ili nikataliwe.mnaotongozwa na Huyu mkuu ,mkubalieni ni mapenzi ya Jf tu ili aache kutusumbua