Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.
Halafu mambo yake biashara zake zinaenda kama kawaida na ana shine,kibaya zaidi wewe hiyo hela haijakufikisha popote,imezidi tu kukupotezea uaminifu, wakuu hili linaumiza mno.
Tuishi Kwa Imani na Kwa uaminifu Mungu yupo na anatenda.

.