AHAS
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 377
- 727
Ukimdai tu mnagombanaAni mi kuna MTU nilimwazima laki mbili hela ya Kodi akasema biashara zake zimekwama kidogo nimwazime laki mbili Acha Tu dakika za mwisho nimetelekeza baadhi ya vitu kwa mwenye nyumba vichache nimeuza nipate nauli ya kurudi nyumbani yeye uyo MTU unamdai anakuangalia usini me sijasema neno lolote.Ila inauma NI unaacha lipite but daa
Kukopesha ni ufala sana