Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Kabisa yaaniUjue malipo ni hapa hapa
Kudhulumiwa kunaumaKama umedhulumiwa potezea tu
Utalipwa na MunguKabisa yaani
kuna watu wanasingiziaga kutekwa kumbe walidhulumu wengine mali na fedha zao huku wakienjoy tu mijini kibabe wakidhani yameisha, halafu siku wakitembelewa na wakipewa kibano cha malipo ya dhuluma wanalialia na kutia huruma.Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.
Halafu mambo yake biashara zake zinaenda kama kawaida na ana shine,kibaya zaidi wewe hiyo hela haijakufikisha popote,imezidi tu kukupotezea uaminifu, wakuu hili linaumiza mno.
Tuishi Kwa Imani na Kwa uaminifu Mungu yupo na anatenda.
Kinauma sio poa ila ndio hivyo usiishi na maumivuKudhulumiwa kunauma
Kweli.Jamaa yangu nimemkopesha hela kwa heshima Sana naona Sasa ananikwepa, mazee msikopeshe kiholela holela
Si ukamdai aliyekudhulumu , maana kulialia hapa ni unaonekana wewe ni dhaifuYaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.
Halafu mambo yake biashara zake zinaenda kama kawaida na ana shine,kibaya zaidi wewe hiyo hela haijakufikisha popote,imezidi tu kukupotezea uaminifu, wakuu hili linaumiza mno.
Tuishi Kwa Imani na Kwa uaminifu Mungu yupo na anatenda.
Yaani kuna mtu akishasema "namuachia Mungu...." wewe dhulumati utaisoma namba, hutoboi ng'o!Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.
Halafu mambo yake biashara zake zinaenda kama kawaida na ana shine,kibaya zaidi wewe hiyo hela haijakufikisha popote,imezidi tu kukupotezea uaminifu, wakuu hili linaumiza mno.
Tuishi Kwa Imani na Kwa uaminifu Mungu yupo na anatenda.
Hua wanajifariji udhulumiwe na Mo useme unamwachia Mungu hadi Mungu mwenyewe anakushangaaYaani kuna mtu akishasema "namuachia Mungu...." wewe dhulumati utaisoma namba, hutoboi ng'o!
Inawezekana akawa hana.Mpe mdaYaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.