Hakuna kitu kinauma kama hiki kitu, dhuluma haifai

Ukimdai tu mnagombana

Kukopesha ni ufala sana
 
Rafiki yangu anakwenda mwaka wa 9 huu, now hata simu hapokei. Watu wa aina hii sijui huwa wanawaza nini juu ya dhuluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…