Aiseee...Asikwambie Mtu hakuna kitu kinauma kama kupigwa chini eti kisa unakaa buguruni!
Hakuna kitu kinauma kama kujua ex wako kapata mume mwingine mzuri zaidi yakk..[emoji125][emoji125][emoji125]Hakuna kitu kinauma kama ....
"Rafiki yako uliyemnunulia bia miaka minne mfululizo akiwa hana ajira, leo kapata kazi anakwambia ameacha pombe,inauma sana."[emoji38] [emoji38]
Twenda na sms hizi
Lazima upige nyeto!hakuna kitu kinauma kama kumsubiri dem gheto afu akwambie amegaili mpk wiki ijayo
too painfull .Hakuna kitu unauma kama kujua dark side ya demu wako ulikuwa unamuamini sana
So much pain[emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hakuna kitu kinauma Kama kubanwa na zipu kwenye dushelele
Uzee huo unakaribia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hakuna kitu kina uma kama una hangaika kutafuta kitu kumbe umekishikilia mkononi.
Utacheza kiduku mbona [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119]Hakuna kitu inauma kama kugonga goti kwenye kona ya kitanda.
Uwiii yashanikuta hayo[emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna kitu kinauma kama ukipigwa na mpira kunako korodani