Hakuna kitu kinauma kama......

Hakuna kitu kinauma kama......

Hakuna kitu kinauma kama..

....umeshika kijiko kilichojaa ndizi na kipande cha nyama unakileta mdomoni alafu unajigonga kinaanguka...[emoji22][emoji22]
 
Hakuna kitu kinauma kama ....

"Rafiki yako uliyemnunulia bia miaka minne mfululizo akiwa hana ajira, leo kapata kazi anakwambia ameacha pombe,inauma sana."[emoji38] [emoji38]


Twenda na sms hizi
Hakuna kitu kinauma kama kujua ex wako kapata mume mwingine mzuri zaidi yakk..[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hakuna kitu kinauma kama Kugongewa na mshkaji wako akati wew demu alikwambia.msubiri mpaka.ndoa
 
Back
Top Bottom