Hakuna kitu kinauma kama......

Hakuna kitu kinauma kama......

Hakuna kitu kitamuuma kama

Vitasa ntakavyomshushia
 
hakuna kitu kinauma kama kukumbuka siku ya kupiga kura alafu umeme ukawa hakuna
 
hakuna kitu kinauma kama kumsubiri dem gheto afu akwambie amegaili mpk wiki ijayo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Au afike kabisa halafu akuambia hali ya hewa imemsababisha akableed .. Hahahaha halafu anakaa kama siku tatu hivii ndio aondoke.
 
Hakuna kitu kinauma kama kuteleza bafuni na kujikuta umekalia koki ya bomba la maji.
 
Hakuna kitu kinauma kama umefanya usafi kila kona mashuka umefua alafu demu wako anakuja kukuambia yuko kwenye sikuzake....
 
Asikwambie Mtu hakuna kitu kinauma kama kupigwa chini eti kisa unakaa buguruni!
 
Back
Top Bottom