Hakuna kitu kinauma kama......

Hakuna kitu kinauma kama......

hakuna kitu kinauma kama kuchaniwa mkeka na timu moja asee afu ukute ndo ulikua unaisubiria uvute mpunga
 
Hakuna kitu inauma kama timu kubwa ya uhakika kukuchania mkeka[emoji23]
 
Hakuna kitu inauma kama kupoteza vocha ya buku bora nipoteze noti ya ten
 
Hakuna kitu kinauma mtu kukudanganya alafu akawa yuko serious wakati wewe unajua anakudanganya sukari naingia madarakani ilikua 5000 imeshuka 3000
 
Hakuna kitu kinauma utoke nyumbani uwaache wanachambua mchele halafu baadae ukirudi unakuta ugali..

Enzi hizooo..
 
Back
Top Bottom