the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Hawa ndo wanafanya makosa madogo madogo wakihifadhiwa sero wanatoroka.......kwa sasa ukiingia tu kwa makosa madogo madogo unalambwa fimbo tano mgongoni ili hata ukitoroka umeshapata joto ya jiwe...unaenda kufanya nini mjini kama huna hela ?
ukikamatwa kwa uzururaji utamlaum nani ?
Anastahili kunyimwa mpunga na Mungu kwa mawazo yake ya vishundukama mawazo yako ndo haya hizo pesa & good life utavisikia tu kwa watu.
Halafu ukiwa huna hela kila kitu kizuri na kila kitu kitamu vinapita mbele yako kwa makusudi kabisa
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
unaenda kufanya nini mjini kama huna hela ?
ukikamatwa kwa uzururaji utamlaum nani ?
Uliambiwa mjini benki? Mbona hata vijijini kuna fedha mwanangu? Mjini shule tu
Hawa ndo wanafanya makosa madogo madogo wakihifadhiwa sero wanatoroka.......kwa sasa ukiingia tu kwa makosa madogo madogo unalambwa fimbo tano mgongoni ili hata ukitoroka umeshapata joto ya jiwe...
naenda kufanya nini sasaTuonge tu ukwel ww hujawai kufika mjin huna hela
kama mawazo yako ndo haya hizo pesa & good life utavisikia tu kwa watu.
Na wizi huanza hivi hivi
Inataka moyo kuzurura bila hela
Anastahili kunyimwa mpunga na Mungu kwa mawazo yake ya vishundu
Ukiwa huna jax hivi ni kwanini huwa unahisi njaa sana tofauti na ukiwa huna jax unaweza kushinda hata siku nzima bila kula.Halafu ukiwa huna hela kila kitu kizuri na kila kitu kitamu vinapita mbele yako kwa makusudi kabisa
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app