Hakuna kitu kinauma na kuleta uchungu kama ufike Mjini halafu hauna hela

Hakuna kitu kinauma na kuleta uchungu kama ufike Mjini halafu hauna hela

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Hivi ulishawai kufika Mjini alaf mfukon hauna hata mia mbovu yan mifuko imedoda ukitazama huku unaona vitu vitamu madikodiko ukitazama kule unaona watoto wazur vishund** vimejaa mpk inamwagika unabak kutingisha kichwa tu!

Tutafute pesa ili tuenjoy good life, maisha ni matamu sana ukiwa na pesa
 
unaenda kufanya nini mjini kama huna hela ?
ukikamatwa kwa uzururaji utamlaum nani ?
 
Uliambiwa mjini benki? Mbona hata vijijini kuna fedha mwanangu? Mjini shule tu
 
unaenda kufanya nini mjini kama huna hela ?
ukikamatwa kwa uzururaji utamlaum nani ?
Hawa ndo wanafanya makosa madogo madogo wakihifadhiwa sero wanatoroka.......kwa sasa ukiingia tu kwa makosa madogo madogo unalambwa fimbo tano mgongoni ili hata ukitoroka umeshapata joto ya jiwe...
 
Hawa ndo wanafanya makosa madogo madogo wakihifadhiwa sero wanatoroka.......kwa sasa ukiingia tu kwa makosa madogo madogo unalambwa fimbo tano mgongoni ili hata ukitoroka umeshapata joto ya jiwe...

Daaah yan wabongo wanapenda kumtafsir mtu kutokana na thread mm ni mzururaji tu mwanangu
 
Back
Top Bottom