Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Shemeji chama chako hakifai kuwepo hakina faida yoyote, bora hata chama cha yule donedrake sijui ameendaga wapi naye ๐Ÿ˜‚
ni vile we ni shemeji yangu na sio jobless, ila ninge kupa onyo la barua Moja Kali.

chama chetu kina umuhimu, maana kina jua shida na matatizo ya Wanachama.

beside, kwa idadi yetu tuki gombea uraisi, si tuna shinda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Zimefika shemeji! Ndio maana mimi lazima niolewe na tajiri ili wewe na mchumba wako msiteseke!
ahh sitaki, mimi raisi wa ma jobless pro max siwezi kuwa chawa wa mtu๐Ÿ˜‚

Napigana kwa style yangu, connection zangu, na hata maamuzi yangu.

Ili siku tuki kutana kwenye kikao cha ukoo, mdogo ako ana ambiwa akate kachumbari na si kuosha vyombo๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Si ndiooo! mjanja wewe nilikuwa nakutia kiberiti nikuone!

Akili nyingi sana Rais, cheo kinakufit vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ