Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Kwahiyo mzee miezi.mitatu unaamka asubuhi unaenda town kuzurura ili uwende sawa na majirani?

Haya ndio matatizo ya kutoishi maisha yako,kama ulienda kwa ajili ya kutafuta riziki ni sahihi ila kama kwa ajili uonekane nawe unapambana dah pole sana
 
Tema mate chini puuuh..sitaki hata kukumbuka..
 
Aisee kama Wana akiba wataanzisha hata miradi Hila kama hawana akiba bhasi hali hiyo hapo juu inawasubiri
 
Dah wewe jamaa umeichambua kinamna kabisa🤣🤣
 
Kwahiyo mzee miezi.mitatu unaamka asubuhi unaenda town kuzurura ili uwende sawa na majirani?

Haya ndio matatizo ya kutoishi maisha yako,kama ulienda kwa ajili ya kutafuta riziki ni sahihi ila kama kwa ajili uonekane nawe unapambana dah pole sana
Nilikuwa na Imani nikienda mjini nitapata mishe kwahyo ningeendelea kukaa tu? afu Kuna vitu kuiga km mwenzako anafanikiwa siyo mbaya
 
Natamani wote wanaotafuta kazi wanazostahili wapate kazi wanazotafuta.
 
Aise ndy hali ninayopitia kwasasa najalibu hata kuuza vitu hangalau nipate mtaji hila wapi Ngoma ngumu
 
Hamna Mzee si unajua umetoka zako chuo mda huo afu umeingia mtaani mtaa unakukataa Hila mungu mkubwa saiv nikiamka najua naenda wapi
Mkuu kwenye maisha hasa ukiwa mwanaume usijaribu kusikiliza wala kuwaza jamii itanionaje fanya kila linalo wezekana asee. Neda kijijini kajichimbie miezi yako sita anza hata kwa kulima mchicha hako kasimu uza upate pa kuanzia aseebaada ya mwezi ramani huwa inaanza kusoma na kukuonyesha direction yenyew tu.

Ukienda eneo ambalo hufahamiki sana kwanza usijitangeze wee ni msomi jichnganye na vijana wa rika lako piga kazi yoyote unayoweza na hutojutia.

Shida ya wengi usomi una wa lemeza mkuu.Nakumbuka nilienda nilienda kwa dada mkoa x hadi nilikuwa namtoroka kenda kuuza maji,juice na chocolate stand japo hela kila akiondoka asubhi ananiachia ten ama 20 bado niliona sifai kushinda nyumbani nasubri kupikiwa na kula kuoga na kunya bure hapa.......

Kama kwa sasa una mishe yoyote hongera sana pambana sana mkuu. Nimefurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…