Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto

Bashir Yakub

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
96
Reaction score
1,745
KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.

Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto.

Kuna wengine hulazimisha wapewe Tshs 150,000/ kwa mwezi, wengine 50 elfu kwa mwezi, wengine hutaka mpaka laki tano kwa mwezi nk, nk, nk.

Narudia hakuna kiwango maalum bali unaweza kutoa kiwango chochote kulingana na vigezo maalum ambavyo huzingatiwa.

Kifungu cha 44 cha Sheria ya Mtoto, pamoja na Kanuni ya 84(2) ya Kanuni za Sheria ya Mtoto vimeainisha Vigezo ambavyo huzingatiwa ili kujua utoe kiasi gani cha matunzo.

Vigezo (factors) hivyo ni Mali na Kipato chako. Mali na Kipato ni pamoja na mshahara na posho unazopata, pato kutoka biashara/shughuli zako, pensheni na kiinua mgongo, pato kutoka kwenye kodi za nyumba, frem, mashamba, mifugo, nk.

Vitu hivi hata ukifikishwa mahakamani kwa suala la matunzo ya mtoto ndo vitu vitazingatiwa ili kujua itolewe amri ya kuwa unalipa kiasi gani.

Kwa hiyo hakuna haja ya kulazimishana kuhusu kiwango. Na Kifungu cha 49 Sheria hiyo ya Mtoto kinaruhusu kiwango unachotoa kupungua ama kuongezeka ikiwa kipato chako kitashuka ama kupanda.

Ni muhimu sasa kujua kuwa hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza au penginepo kama matunzo ya mtoto.
 
Asante kwa elimu. Wale waliozaa na michepuko au kutelekeza watoto hii itawafaa
 
Mbona rahisi tu ku calculate

1.piga hesabu mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni anatumia shilingi ngapi

Mfano chai asubuhi shilingi elfu moja,cha mchana shilingi elfu mbili na jioni elfu mbili

Jumla kwa siku ni elfu tano kwa mtoto tu kwa mwezi itakuwa laki moja na nusu

2.Unakuja kupiga hesabu ya huyo anayetuza mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni shilingi ngapi tuchukulie same kama mtoto inakuwa laki moja na nusu

3.Unaweka mshahara wa huyo mtunza mtoto awe house girl au mwanamke kima cha chini labda kima cha chini laki 300

4.Unaweka kodi ya anapokaa huyo mtoto kwa mwezi shilingi ngapi kama hujamjengea nyumba huyo mtoto hata kama anakaa kwa nduguye mzazi mama upige kuwa kapanga.There is no free lunch

5.unaweka bima ya afya ya mtoto

6.unaweka ada ya mtoto na mahitaji ya shule yote

By Most Hon Advocate YEHODAYA Certified Bush Lawyer
 
Housegirls wanaolipwa laki 3 kima cha chini,kama mshahara ni wachache,ila kwasababu ya kukomolewa,baba mtu ataambiwa hivyo,inamaana single mother akiwa na watoto wanne wa baba tofautitofauti,analipwa 20 ya kula watoto kila siku,na mshahara usiopungua milioni moja na laki kadhaa,duuh!
 
KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?.

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.

Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto.

Kuna wengine hulazimisha wapewe Tshs 150,000/ kwa mwezi, wengine 50 elfu kwa mwezi, wengine hutaka mpaka Laki tano kwa mwezi nk, nk, nk.

Narudia hakuna kiwango maalum bali unaweza kutoa kiwango chochote kulingana na vigezo maalum ambavyo huzingatiwa.

Kifungu cha 44 cha Sheria ya Mtoto, pamoja na Kanuni ya 84(2) ya Kanuni za Sheria ya Mtoto vimeainisha Vigezo ambavyo huzingatiwa ili kujua utoe kiasi gani cha matunzo.

Vigezo(factors) hivyo ni Mali na Kipato chako. Mali na Kipato ni pamoja na mshahara na posho unazopata, pato kutoka biashara/shughuli zako, pensheni na kiinua mgongo, pato kutoka kwenye kodi za nyumba, frem, mashamba, mifugo, nk.

Vitu hivi hata ukifikishwa mahakamani kwa suala la matunzo ya mtoto ndo vitu vitazingatiwa ili kujua itolewe amri ya kuwa unalipa kiasi gani.

Kwa hiyo hakuna haja ya kulazimishana kuhusu kiwango. Na Kifungu cha 49 Sheria hiyo ya Mtoto kinaruhusu kiwango unachotoa kupungua ama kuongezeka ikiwa kipato chako kitashuka ama kupanda.

Ni muhimu sasa kujua kuwa hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza au penginepo kama matunzo ya mtoto.
Maelezo yako mleta mada hayajitoleshezi, bado hayajajibu kiu ya sisi wafuatiliaji.
Ni kweli hakuna kiwango maalum, sasa kanuni ipi hutumika kufikia kiwango husika kwa haki?

Kwa mfano, mimi kipato changu ni shilingi laki tano kwa mwezi, sasa nitawajibika kutoa kiasi gani?
 
Yote kwa yote hii sheria ni ya kihuni na kikandamizaji, imelenga kumkomoa mwanaume kiuchumi.

Kwanini jukumu la kutoa pesa za matunzo limhusu mzazi mmoja tu?
 
Kuna mmoja kasema ananipeleka Kata Ili nilazimishwe kutoa Hela nyingi zaidi ya ninayotoa wakati huko nyuma aliniomba nimzalishe na asingenisumbua (maana nimeoa). Sasa anataka kunikomoa.
 
Kumbe wanageukaga
 
Mbona rahisi tu ku calculate

1.piga hesabu mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni anatumia shilingi ngapi

Mfano chai asubuhi shilingi elfu moja,cha mchana shilingi elfu mbili na jioni elfu mbili

Jumla kwa siku ni elfu tano kwa mtoto tu kwa mwezi itakuwa laki moja na nusu

2.Unakuja kupiga hesabu ya huyo anayetuza mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni shilingi ngapi tuchukulie same kama mtoto inakuwa laki moja na nusu

3.Unaweka mshahara wa huyo mtunza mtoto awe house girl au mwanamke kima cha chini labda kima cha chini laki 300

4.Unaweka kodi ya anapokaa huyo mtoto kwa mwezi shilingi ngapi kama hujamjengea nyumba huyo mtoto hata kama anakaa kwa nduguye mzazi mama upige kuwa kapanga.There is no free lunch

5.unaweka bima ya afya ya mtoto

6.unaweka ada ya mtoto na mahitaji ya shule yote

By Most Hon Advocate YEHODAYA Certified Bush Lawyerm

zazi mwenzangu nilikuwa nampa elfu 80 kwa mwezi na bima ya afya nilimkatia mtoto akiwa na miezi miwili tu

Mbona rahisi tu ku calculate

1.piga hesabu mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni anatumia shilingi ngapi

Mfano chai asubuhi shilingi elfu moja,cha mchana shilingi elfu mbili na jioni elfu mbili

Jumla kwa siku ni elfu tano kwa mtoto tu kwa mwezi itakuwa laki moja na nusu

2.Unakuja kupiga hesabu ya huyo anayetuza mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni shilingi ngapi tuchukulie same kama mtoto inakuwa laki moja na nusu

3.Unaweka mshahara wa huyo mtunza mtoto awe house girl au mwanamke kima cha chini labda kima cha chini laki 300

4.Unaweka kodi ya anapokaa huyo mtoto kwa mwezi shilingi ngapi kama hujamjengea nyumba huyo mtoto hata kama anakaa kwa nduguye mzazi mama upige kuwa kapanga.There is no free lunch

5.unaweka bima ya afya ya mtoto

6.unaweka ada ya mtoto na mahitaji ya shule yote

By Most Hon Advocate YEHODAYA Certified Bush Lawyer
Nakumbuka mzazi mwenzangu nilikuwa nampa zaidi ya 80,000 kwa ajili ya matunzo ya mtoto wetu kwa mwezi,Na Bima ya afya nilimkatia mtoto akiwa na miezi 2 tu,baadae akakutana na mabush lawyer,Wakamwambia hiyo hela anayokupa ni ndogo sana,Nenda Mahakamani utapewa pesa zaidi ya hiyo na utapangiwa nyumba ya kuishi na kuondoka pale kwenu, Nenda Mahakamani Kafungue Kesi Umetelekezwa na Mtoto Utapewa Nusu ya mshahara wake,nilimuonya kuwa utaenda kupoteza vitu vingi sana ambavyo sasa hivi ninavifanya kwa mtoto,ila ukienda mahakamani mahakama haitaniambia Nivifanye kamwe,Akajifanya MbishI,Nilipoulizwa Na Mahakama Uwezo Wangu Wa Kumpa pesa ya matunzo ya mtoto,nikaiambia Mahakama ni 40,000 Kwa Mwezi, mahakama ikaipitisha hiyo hiyo,licha ya kuipitisha hiyo hiyo tangu hukumu itoke nimekuwa nikimtumia 50,000 sio ile iliyoamuliwa na mahakama.Hakukuwa na kupangiwa Nyumba Wala Kujengewa nyumba
 
Mkuu hadi kidogo nikufuru Kwa kumuuliza kama amezaa kitega uchumi.. audhu billah min ash shwaitayn rajeem.
Uzuri akifika mahakamani, mahakama inajua kuwa huyu kafungua kesi ni kweli ametelekezwa au anataka kumfanya mwanaume kitega uchumi.Hapo ndo wengi hukutana na matarijio wasiotegemea hususani wale waliofungua kesi kwa nia mbaya
 
Nakumbuka mzazi mwenzangu nilikuwa nampa zaidi ya 80,000 kwa ajili ya matunzo ya mtoto wetu kwa mwezi,Na Bima ya afya nilimkatia mtoto akiwa na miezi 2 tu,baadae akakutana na mabush lawyer,Wakamwambia hiyo hela anayokupa ni ndogo sana,Nenda Mahakamani utapewa pesa zaidi ya hiyo na utapangiwa nyumba ya kuishi na kuondoka pale kwenu, Nenda Mahakamani Kafungue Kesi Umetelekezwa na Mtoto Utapewa Nusu ya mshahara wake,nilimuonya kuwa utaenda kupoteza vitu vingi sana ambavyo sasa hivi ninavifanya kwa mtoto,ila ukienda mahakamani mahakama haitaniambia Nivifanye kamwe,Akajifanya MbishI,Nilipoulizwa Na Mahakama Uwezo Wangu Wa Kumpa pesa ya matunzo ya mtoto,nikaiambia Mahakama ni 40,000 Kwa Mwezi, mahakama ikaipitisha hiyo hiyo,licha ya kuipitisha hiyo hiyo tangu hukumu itoke nimekuwa nikimtumia 50,000 sio ile iliyoamuliwa na mahakama.Hakukuwa na kupangiwa Nyumba Wala Kujengewa nyumba
Huyo hakimu hajielewi alikusikiliza tu na kutoa hukumu bila vidhibiti vya shughuli unafanyia,?
 
Housegirls wanaolipwa laki 3 kima cha chini,kama mshahara ni wachache,ila kwasababu ya kukomolewa,baba mtu ataambiwa hivyo,inamaana single mother akiwa na watoto wanne wa baba tofautitofauti,analipwa 20 ya kula watoto kila siku,na mshahara usiopungua milioni moja na laki kadhaa,duuh!
Hivyo vitu hakuna mahakamani! Na hakuna kukomolewa mahakamani! Mahakama inachozingatia ni mtoto tu na sio mama yake,pia ukweli tu wa mambo na huzingatiwa zaidi,kama mwanamke atafungua kesi kwa lengo la kumkomoa mwanaume akifika mahakamani atajulikana tu.hivyo atapata matokeo ambayo hakuyatarajia
 
Huyo hakimu hajielewi alikusikiliza tu na kutoa hukumu bila vidhibiti vya shughuli unafanyia,?
Sio hakimu hajielewi,alibase kwenye facts kwanza,kesi ilifunguliwa kimichongo,kama unafungua kesi unasema umetelekezwa,haliyakuwa unajua si kweli mzazi mwenzio anatoa matunzo,na ameithibitishia mahakama anatoa matunzo unategemea hakimu afanyaje? Unajua kufungua kesi kwa nia mbaya nayo haikubaliki?
 
Huyo hakimu hajielewi alikusikiliza tu na kutoa hukumu bila vidhibiti vya shughuli unafanyia,?
Vidhibiti vya shughuli unayofanyia ni salary slip tu,tena hakimu hawezi kusema kwa kuwa unalipwa laki tano basi laki mbili na nusu iende kwa mtoto,atakupa nafasi wewe mwenyewe useme ni shilingi ngapi utakayotoa ya matunzo kwa mtoto kwa mwezi,kama na wewe utasema kiasi kwa ajili ya kumkomoa mzazi mwenzio yeye atajua na ataingilia kati na kuongeza kiasi kidgo zaidi ya ulichotaja wewe.
 
Unamkomoa mzazi mwenzio au mtoto wako
 
Back
Top Bottom