Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Huwezi kuelewa situation iliyonifika mpaka ikukute!Unamkomoa mzazi mwenzio au mtoto wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuelewa situation iliyonifika mpaka ikukute!Unamkomoa mzazi mwenzio au mtoto wako
Hiii! baghosha..
Huu ni uongo mkuu!.Kiwango cha matunzo ya mtoto ni lazima kizingatie kipato cha baba na idadi ya watoto alionao.Mgawanyo utafanywa kwa usawa wa watoto,mambo ya sijui housegirl na balaa balaa zingine ni mbwebwe tu.Mbona rahisi tu ku calculate
1.piga hesabu mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni anatumia shilingi ngapi
Mfano chai asubuhi shilingi elfu moja,cha mchana shilingi elfu mbili na jioni elfu mbili
Jumla kwa siku ni elfu tano kwa mtoto tu kwa mwezi itakuwa laki moja na nusu
2.Unakuja kupiga hesabu ya huyo anayetuza mtoto chai ya asubuhi ,chakula cha mchana na jioni shilingi ngapi tuchukulie same kama mtoto inakuwa laki moja na nusu
3.Unaweka mshahara wa huyo mtunza mtoto awe house girl au mwanamke kima cha chini labda kima cha chini laki 300
4.Unaweka kodi ya anapokaa huyo mtoto kwa mwezi shilingi ngapi kama hujamjengea nyumba huyo mtoto hata kama anakaa kwa nduguye mzazi mama upige kuwa kapanga.There is no free lunch
5.unaweka bima ya afya ya mtoto
6.unaweka ada ya mtoto na mahitaji ya shule yote
By Most Hon Advocate YEHODAYA Certified Bush Lawyer