Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto

Huu ni uongo mkuu!.Kiwango cha matunzo ya mtoto ni lazima kizingatie kipato cha baba na idadi ya watoto alionao.Mgawanyo utafanywa kwa usawa wa watoto,mambo ya sijui housegirl na balaa balaa zingine ni mbwebwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…