Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Samia alikuwa Makam wa Magufuli, alichofanya Magufuli Samia aliunga mkono kwa 100%. Mnamsifu Magufuli na kumponda Samia hamna akili, wote ni matapeli na majizi+ uigizaji.
Magufuli ameiba mapesa mengi Nchi hii kuliko Rais yeyeto, Magufuli amefanya wahitimu wa vyuo vikuu kupoteza muelekeo wa maisha,Magufuli ameua watumishi waliotumikia serikali ya CCM akawatumbua na pesa za pensheni zao akala!, Magufuli ametahifisha lanchi ya Karagwe...
Samia amewagawia wajomba zake loliondi, ngorongoro, Samia ameuza Bandari ya Dsm kwa wajomba zake .... Kumuondoa Samia kwenye maovu ya Magufuli na kumpa Magufuli sifa huku ukimponda Samia automaticlly Wewe ni mpumbavu.
 
Kwa sasa wamepatia njia siyo??
 
Huna akili umejaza vitu vya ajabu kichwani
 
Mwendazake alikuwa muuaji.Panya road watafyekwa wote
 
Wewe ndo ulikuwepo nchini peke ako?
Jibu hoja kwa data sio maneno... nyuzi zipo humu kibao zikiongelea mgao wa 2019-20 alafu mtu mmoja anasema hakukuwahi kuwepo mgao?

Yes samia anaweza kuwa amepwaya but haimaanishi JPM is the answer, mara 100 Majaliwa ingawa ni CCM ila seems reasonable kidogo, but JPM was trash.
 
Mkuu wote wanaosema mazuri na mabaya ya Magufuli na Samia wote wanasifia kwa namna tofauti jinsi inavyo wazuuza mioyo yao!

Hakuna aliyekuziba mdomo usisifie umhusuduye jinsi utakavyo au upendavyo, wewe tiririka mpaka kukuche! Ni MB zako tu!

Mambo ya mgao wa umeme, vitu kupanda bei na huduma za jamii zisizoridhisha zilikuwepo awamu zote! Na zitaendelea kuwepo! Usijipe stress, jipange kivyako vyako!
 
๐Ÿ‘๐Ÿ†’
 
Mkuu, ni mhimu kujali mambo yanaposhindwa kutabirika
 
Mkuu ni mengi mno! Jinsi ya kudeal na uongo wa Sukuma gang ni kuweka facts hapa kama ulivyo fanya, maana wanafikiri watu wamesahau!

Kwa kipindi cha miaka mitano 5 cha Mwendazake hii nchi ilirudi nyuma miaka 50!
 
Mkuu ni mengi mno! Jinsi ya kudeal na uongo wa Sukuma gang ni kuweka facts hapa kama ulivyo fanya, maana wanafikiri watu wamesahau!

Kwa kipindi cha miaka mitano 5 cha Mwendazake hii nchi ilirudi nyuma miaka 50!
Fact ambazo pia hujaziweka mkuu, unadhani bila ya hizo wataacha sasa...?
 
Makamba mwenyewe alipo ingia pale tanesco gia ya kwanza ilikuwa kupambana na Magufuli,

Mwishowe akala mweleka hadi kipara kikaongezeka.
 
Sukari sasa hivi inauzwa elfu 4,500 toka 3500

Mafuta yanuzwa elfu 5000 toka 3500

Petrol na dizel inauzwa elfu 400 toka 2000

Ni wazi wewe ni taahra
Mkuu ili kutenda haki na kabla ya kumtukana mwenzio tuwekee data ya ya bei ya vitu hivyo wakati Magufuli anaingia na wakati anaenda zake ili tuone kama hakukuwepo na ongezea la bei katika awamu yake kama unavyo imply hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ